"JUBA NA KARTOUM PATANENI"HILLARY CLINTON
"JUBA AND KHARTOUM YOU SHOULD RECONCILE"HILLARY CLINTON
Bi Hillary CLinton
Asema maendeleo kati ya Sudan Kusini na Sudan yanategenea uhusiano mwema kati yaoIjapo
Sudan na Sudan Kusini sasa ni nchi tofauti lakini maendeleo yao yanategemea uhusiano kati yao," alisema baada ya kukutana na Rais Salva Kiir was Sudan Kusini."Ni jambo la dharura kwa nchi hizi mbili, Kaskazini na Kusini, kuendelea kujadiliana ili muafaka kuhusu utata baina yao uweze kupatikana.
"Kila moja ya nchi hizo ni sharti zilegeze misimamo yao iliklupunguza uhasama kati yao"
Matamshi ya Bi Clinton akiwa Senegal yaliolaumu sera za serikali ya China kuhusu sera zake barani afrika matamshi yake yameshutumiwa na vyombo vya serikali ya China.
Katika taarifa yake mjini Dakar Bi Clinton alisema Marekani inazingatia zaidi mfumo wa uhusiao wenye manufaa kulko ule wa kunyonya raslmali.
Vyanzo:TZMPAKAAU na BBC
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen