(STEVE KANUMBA AMEFARIKI DUNIA)
One of the great actors, in Tanzania film industry(Bongo movie industry) Steve Kanumba a.k.a Kanumba the great, has died yesterday evening,the unconfirmed information says Kanumba had an argument with his love Lulu also an actress in Bongo film industry and later the guy was found dead.(Muigizaji maarufu wa filamu za Kiswahili Kanumba amefariki jana,taarifa ambazo bado hazijathibitika zinasema Kanumba alikuwa na ugomvi na mpenzi wake anayeitwa Lulu kabla ya Kanumba kupatikana na mauti hayo,Lulu na Kanumba walisikika wakigombana chumbani kwa Kanumba na muda mfupi baadaye Kanumba alikutwa amefariki).
Vyanzo:TZMPAKAAU na Mjengwa blog.
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen