Waandishi mbali mbali wa habari wakimsubiria rais Kikwete kutangaza tume ya kukusanya maoni kwaajili ya uandishi wa katiba mpya.
Hapa rais Kikwete akitangaza tume mpya kwa ajili ya kukusanya maoni ya wananchi ili kuunda katiba mpya ya Tanzania.
Majina ya wanatume
TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
(Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura 83,
Toleo la 2012, Vifungu 5, 6 na 7)
______________________________
UONGOZI WA JUU
1. | Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA | - Mwenyekiti | |||
2. | Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino RAMADHANI | - Makamu Mwenyekiti | |||
WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - BARA
1. | Prof. Mwesiga L. BAREGU | ||||
2. | Nd. Riziki Shahari MNGWALI | ||||
3. | Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI | ||||
4. | Nd. Richard Shadrack LYIMO | ||||
5. | Nd. John J. NKOLO | ||||
6. | Alhaj Said EL- MAAMRY | ||||
7. | Nd. Jesca Sydney MKUCHU | ||||
8. | Prof. Palamagamba J. KABUDI | ||||
9. | Nd. Humphrey POLEPOLE | ||||
10. | Nd. Yahya MSULWA | ||||
11. | Nd. Esther P. MKWIZU | ||||
12. | Nd. Maria Malingumu KASHONDA | ||||
13. | Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb) | ||||
14. | Nd. Mwantumu Jasmine MALALE | ||||
15. | Nd. Joseph BUTIKU | ||||
WAJUMBE KUTOKA TANZANIA- ZANZIBAR
1. | Dkt. Salim Ahmed SALIM | ||||
2. | Nd. Fatma Said ALI | ||||
3. | Nd. Omar Sheha MUSSA | ||||
4. | Mhe. Raya Suleiman HAMAD | ||||
5. | Nd. Awadh Ali SAID | ||||
6. | Nd. Ussi Khamis HAJI | ||||
7. | Nd. Salma MAOULIDI | ||||
8. | Nd. Nassor Khamis MOHAMMED | ||||
9. | Nd. Simai Mohamed SAID | ||||
10. | Nd. Muhammed Yussuf MSHAMBA | ||||
11. | Nd. Kibibi Mwinyi HASSAN | ||||
12. | Nd. Suleiman Omar ALI | ||||
13. | Nd. Salama Kombo AHMED | ||||
14. | Nd. Abubakar Mohammed ALI | ||||
15. | Nd. Ally Abdullah Ally SALEH | ||||
UONGOZI WA SEKRETARIETI
1. | Nd. Assaa Ahmad RASHID | - Katibu | |||
2. | Nd. Casmir Sumba KYUKI | - Naibu Katibu |
Vyanzo:TZMPAKAAU,BBC,Mjengwa blog na Michuzi.
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen