Jukwaani ni pamoja na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari(CHADEMA),Mwenyekiti wa CHADEMA taifa bw.Freeman Mbowe na Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya CHADEMA bw.Godbless Lema.
Mkutano wa CHADEMA Arusha NMC jana.
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema chama chake kimeamua kukata rufaa Jumanne ijayo kupinga uamuzi wa Mahakama kuu wa kumvua bw.Godbless Lema ubunge wa Arusha Mjini, ili haki itendeke na kuepushia hasara Taifa ya kurudia uchaguzi bila sababu za msingi.
Vyanzo:TZMPAKAAU,Ippmedia,Mjengwa na Jamii Forum
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen