NYUMBA MPYA KABISA YA SPIKA
(NEW MANSION FOR THE SPEAKER OF PARLIAMENT)
Nyumba mpya ya spika wa bunge la jamhuri ya muungano.
Muonekano wa nyumba hiyo kwa mbele. Jengo hili ambalo litakuwa makazi ya Spika yeyote atakayeliongoza Bunge la Tanzania lilianza kujengwa Disemba 2009 na limegharimu takriban sh. 1.5 bilioni. Hapakuwahi kuwa na nyumba rasmi ya Spika wa Bunge Dodoma. Picha zote na Prosper Minja-Bunge.
Currently speaker of the parliament ,Anne Makinda.
The mansion for the speaker of Tanzanian parliament on the first picture above,The costs for the building are estimated to climb to 1.5 tanzanian billion shillings aproximately 1 million dollars
Sources:TZMPAKAAU na the habari online.
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen