(MALI HAS BEEN SUSPENDED FROM ECOWAS)
Jumuiya ya Afrika Magharibi ECOWAS imesimamisha uanachama wa Mali kuafuatia hatua ya jeshi kuoindua serikali ya Rais Amadou Toumani Toure .
Viongozi wa Jumuiya hiyo walifikia uamuzi huo katika mkutano uliofanyika nchini Ivory Coast.
Sasa viongozi hao kutoka nchi sita wanachama wa ECOWAS wamepanga kusafiri hadi mjini Bamako Mali ili kukutana na baraza kuu la jeshi linalotawala nchi hiyo
Vyanzo:TZMPAKAAU,BBC and International Bussines Times
.
Vyanzo:TZMPAKAAU,BBC and International Bussines Times
.
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen