(FIERCE BATTLE HAS ERUPTED BETWEEN SUDAN AND SOUTH SUDAN)
Pande zote zinasema kuwa mapigano hayo yametokea katika maeneo kadhaa ya mipaka kati ya mataifa hayo mawili.
Na kuchipuka kwa mapiganao hayo mapya kumemfanya Rais Salva Kiir kuonya kuwa vita vinanukia eneo hiloMsemaji wa jeshi la Sudan Kusini amesema mapigano hayo ndio makubwa na mabaya zaidi kuwahi kutokea tangu nchi hiyo ijipatie uhuru wake toka Sudan.
Rais Kiir amesema," asubuhi hii anga yetu ilishambuliwa kwa mabomu ....Ni katika maeneo ya Unity.
"Kiongozi huyo wa Sudan kusini amesema ni vita ambavyo wanalazimishwa kuwa navyo. Na ni Sudan ndio inatafuta vita hivyo"
Nae msemaji wa jeshi la Sudan amenukuliwa akisema kuwa vita viko katika maeneo ya South Kordofan na kusini mwa jimbo la Unity
Vyanzo:TZMPAKAAU na BBC
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen