Explosion kills in Nairobi.
Inaarifiwa kuwa maguruneti kama manne yalirushwa kutoka kwenye gari dhidi ya kituo cha basi Machakos Station mjini Nairobi ambacho kilikuwa kimejaa wateja.Inaarifiwa watu 5 wamefariki na zaidi ya 40 kujeruhiwa.Shambulio lilitokea jumamosi saa mbili usiku.
One of the victims of Machakos explosions rushed to hospital .
5 people have been killed and more than 40 people have been injured on Machakos bus station in Nairobi yesterday.The incident happened after more than 4 granades were thrown on the bus station which at the moment was full of people.Vyanzo:BBC na TZMPAKAAU
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen