Best Blogger TipsSoon

Dienstag, 13. März 2012

TZMPAKAAU

MAMIA WAUAWA SUDANI KUSINI KWA KISASI
(HUNDREDS KILLED IN REVENGE IN SOUTH SUDAN)
Watu takriban 100 wameuawa Sudan Kusini katika mfululizo wa mauaji ya kikabila hivi karibuni na wizi wa mifugo, maafisa wamesema. Wizi wa ng’ombe na mashambulizi ya kulipiza kisasi yamewaua maelfu ya watu tangu Sudan Kusini ijipatie uhuru wake mwaka 2011
Mwandishi wa BBC anasema mapigano yaliwahusisha makundi hasimu kutoka jimbo la Jonglei ambayo yanatokana na mzozo wa mpaka katika jimbo laUpper Nile.
Vyanzo:TZMPAKAAU,BBC , FP(Foreighn Policy) na African Arguments

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen