NINAENDELEA VEMA: CHAVEZ
Venezuelan President Hugo Chavez made his first live communication with his country's news media in nearly a week Thursday, saying he was in good shape and recovering quickly from tumor surgery in Cuba.
Rais wa Venezuela Hugo Chavez amefanya mawasiliano ya wazi kwa mara ya kwanza, na shirika la habari la Venezuela baada ya kutoonekana kwa karibu zaidi ya wiki, jana alhamisi.Hugo alisema, anaendelea vema baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe nchini Cuba.
Vyanzo:TZMPAKAAU na Foxnews.
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen