Best Blogger TipsSoon

Donnerstag, 1. März 2012

TZMPAKAAAU

CHAMA CHA ANC CHAMFUKUZA MALEMA(ANC HAS EXPELLED MALEMA)
Kiongozi wa vugu vugu la Vijana wa chama tawala nchini Afrika Kusini Julius Malema, ametimuliwa kutoka chama hicho cha ANC.Tetesi kutoka ndani ya ANC zinaeleza kuwa kufukuzwa kwa Julius Malema kutamwezesha rais Jacob Zuma kugombea muhula wa pili bila upinzani mkali.Julius Malema atakumbukwa kwa jitihada zake kutetea maslahi ya waafrika kusini walio na kipato kidogo, wale wanaoishi kwenye makazi mabovu na wale  wasio na kazi.
Vyanzo:TZMPAKAAU na BBC.

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen