Best Blogger TipsSoon

Freitag, 2. Dezember 2011

TZMPAKAAU

Uingereza yafunga ubalozi wake nchini Iran
(UK has Closed its embassy in Iran )


Ubalozi wa Uingereza nchini Iran ulipovamiwa.
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza, William Hague, ametangaza hatua ya kufunga ubalozi wake mjini Tehran ikiwa ni siku moja tangu waandamanaji wavamie ofisi za ubalozi wa Uingereza na maeneo mengine ya kibalozi nchini Iran.
Ubalozi wa Iran mjini London
Uingereza pia imefunga ubalozi wa Iran mjini London na kuwafukuza maafisa wake wote.
Naye msemaje wa serikali ya Iran ameonya hatua ya Uingereza ya kufunga ubalozi wake nchini humo kuwa ni ya haraka mno, na amesema kuwa Iran itachukua hatua zaidi zinazostahili.


Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen