Best Blogger TipsSoon

Samstag, 21. Mai 2011

TZMPAKAAU

        SASA NI SYMBION LLC BADALA YA DOWANS
  • Wawekezaji  hao wasema wameshafanya kazi hiyo Afghanistan na Iraq
  • Zabuni ni kuzalisha umeme wa 120MW lakini uwezo wao ni wa kuzalisha 112MW
  • Wawekezaji wakataa kutaja bei rasmi ya mradi,  lakini wasema kiasi hicho cha umeme bei rasmi ni dolla milioni 120
  • Wawekezaji waibua mapya juu ya Dowans na Richmond
  • Ni Joe Wilson wa Symbion LLC africa na Paul Hinks chief meneja wa Symbion LLC
Unaweza kuangalia video yao walipofanya mkutano na waandishi wa habari lakini ujue  " to read between lines"


Joe Wilson Kulia na Paul Hinks kushoto
Joe Wilson mentioned the protocol of the conference like "we will do a brief  statement followed by questions and followed by lunch" hatuna time
Mdau aliuliza maswali poa sana
S:  Je kampuni italipwa kiasi gani kwa ajili ya zabuni?...
                                     J:Paul Hinks "Moja kati ya vitu ambavyo siwezi kujibu hicho ni kimojawapo...japo naweza kukupa hints zitakazosaidia kujibu swali lako..."
S:Je kampuni yenu inauwezo wa kuzalisha umeme wa megawati 120 kama zabuni inavyotaka
J:Paul Hinks"Uwezo wa kampuni yetu ni kuzalisha megawati 112"
 
Lukas Liganga ripota wa The Citizen yeye aliuliza je kulikuwa na kesi kati ya Dowans na Richmond ambayo  ilikuwa ikiendelea huko Texas marekani je kesi hii ilishaisha au je nyie mmeyamalizaje?
Paul Hinks :Hakukuwa na kesi wala nini iliyokuwa ikiendelea isipokuwa blah blah blah...
                            
unaweza kuicheki video kwenye hii link:http://www.youtube.com/watch?v=iYjGfgXeZJI

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen