Best Blogger TipsSoon

Samstag, 14. Mai 2011

TZMPAKAAU

SALZBURG(SALT CASTLE)

Is the most beautiful state in Austria

Salzburg Jimbo zuri kuliko yote Austria

  • Hapa ndipo Mozart alipozaliwa(It is the place where the best classical music composer Amadeus Mozart was born)
  •  Na pia palikuwa machimbo makubwa ya chumvi zamani
But Why (SALZBURG)salt castle ?
Once upon time Salzburg was nothing than the large salt mine,the main economic activity here, those times  was salt mining. Those people who lived here those times they were salt miners, salt transporters or salt traders...and all these they were doing for the Salzburg High Bishop who called himself a bishop and appeared to be in church often but he was nothing than a Capitalist or Feudal lord of those times.After he got his  money from salt  he built a nice Castle.

Hapa ni salzburg town
File:Salzburg (16).JPG

Hapa ni Salzburg town mida ya usiku
Hapa ndio unaelekea chimbo,machimbo ya chumvi niliyoyasema

Hapa ndio tupo tayari kuingia chimbo kama enzi hizo basi ungekuta tuna zana kama sururu nyundo n.k
tayari kuchimba chumvi.Ila kwa sasa sisi ni wataliiiiii
 Basi hapa ni ndani ya machimbo na  hiyo unayoona ni sinema ambayo inatoa historia ya machimbo  katika kila sinema tuliyoiona ilimlaani  high bishop aliyekuwa akitumia watu kuchimba chumvi na kuchukua faida

Hii picha ni balaaa  sijui ilichukuliwa katika angle gani lakini aliyepiga ni mpiga picha wangu wakuaminika.Kushoto ni ardhi na kulia ni paa na hiyo hapo kati ni sinema na kwenye fore ground kama wanavyosema wataalamu ni lamp holder.Sinema inaelezea historia ndefu ya machimbo haya ya chumvi jinsi gani chumvi ilijikusanya hapa na jinsi Bishop alivyoamua kuigeuza chumvi biashara yake n.k
Sasa machimbo imekuwa sehemu ya watalii na kwa sasa hapa wameweka slider (mtelezo) basi kama taa ni ya kijani unajimuvuzisha .




Basi hiki ni kinyago kinachofanana na wachimba chumvi wa enzi hizo,hiki kinyago kinaongea dah utaona huzuni jinsi wachimba chumvi walivyokuwa wakiteseka ili kumnufaisha High bishop . Nyuma ya kinyago ni ukuta wa chumvi.

Staats grenze(Mipaka ya nchi)yaani tulivuka toka Austria kuingia Ujerumani chini kwa chini bila nauli bila pasport wala visa meta 210 chini ya usawa wa bahari.


We look very happy...yes, but if  we had to stay two days here we couldn't have these faces. It is not even one quarter how hell look like

Here is  inside the mine  also and we were inside a boat floating on the sublime.The sublime would be vaporized and salt could be obtained.









Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen