Best Blogger TipsSoon

Samstag, 2. April 2011

TZMPAKAAU

Annan  aitembelea Tanzania(Annan visited Tanzania)
United Nations former secretary Koffi Atta Annan visited Tanzania.
Katibu mkuu mstaafu wa umoja wa mataifa na mshindi wa nobel prize Koffi Atta Annan akiwa kwenye picha
ya pamoja na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete.Katika ziara yake nchini Koffi Annan anatarajiwa kutembelea miradi mbali mbali hasa ya kilimo na umwagiliaji.Kama mradi skimu ya umwagiliaji ya Iganjo mbeya,Taasisi ya ARI uyole na shamba la mahindi Mbozi.






Here as the secretary entertained by his hosts. In the middle with the cream suit is former secretary Koffi Annan to be seen and on his left hand side is Minister of enviroment and irrigation Prof Mark Mwandosya.Annan will visit some of the agriculture projects in the region this will include ARI institute in Uyole,Iganjo Irrigation scheme and Maize plantation in Mbozi.

Katibu huyo mstaafu wa United Nations alipokelewa pia kwa ngoma
kama inavyoonekana hiyo ni ngoma ya wanyakyusa inayoitwa lighoma
Habari zaidi tembelea.Mbeyayetu.blogspot.com

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen