Best Blogger TipsSoon

Samstag, 2. April 2011

TZMPAKAAU

Yafahamu mahindi(Mais)

Mahindi ya njano.

Das golden Corn war schon den Inkas, Mayas und Azteken bekannt. Nachweislich wurde Mais schon 3000 vor Christus in Mexiko kultiviert und kam durch Columbus nach Europa. Heute ist die imposante Pflanze die weltweit wichtigste Getreideart mit Anbauzonen in allen Erdteilen. 590 Mill. Tonnen Mais werden jährlich geerntet - mehr als Weizen und Reis.

Mahindi ya maruni

Mahindi yakiwa bado shambani
Mahindi yalishajulikana muda mrefu kwa makabila ya kusini na marekani ya kati makabila hayo ni kama Inkas,Mayas na Azteken.Na kama ushahidi mahindi yalikuwa yakilimwa na watu wa Mexico miaka 3000 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo . Mahindi yaliletwa ulaya na Christopher Columbus ambaye ndiye aliyewasaidia watu wa ulaya kupata ufahamu wa mwanzo juu ya mabara ya Marekani ,kwa maana ya marekani kaskazini kusini na kati.Leo hii mahindi ni zao la kipekee zaidi na  nafaka hii inaumuhimu mkubwa kabisa ikilimwa karibu kilaeneo duniani.Inakadiriwa karibu kila mwaka tani 590Mill.za mahindi huvunwa kila mwaka,mavuno haya ni zaidi yale ya Mpunga na Ngano.

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen