Best Blogger TipsSoon

Dienstag, 15. März 2011

TZMPAKAAU



One of Austrian Ball/Prom
Palais Linz




As you see good number of people was there(Watu nyomi mtu wangu)hii ni sherehe ya kitamaduni ya Austria kama unavyoona ukumbi ulikuwa umejaa jumamosi kupata tiket kule juu si mchezo bei lakini kama unavyoona ukumbi upo makini

Basi kulikuwa na dance nyingi hii ilikuwa ka break dance vile kwa saabu hii prom ilikuwa ya vijana dance
nyingi zilifanyika kwa mtindo wa kimarekani lanini achilia mbali hilo the guys tried real hard
there were dances from japan,india little bit africa and mexico as well


Basi hapa wadau tulikuwa lounge tukisubiri tukio linalofuata
Huyu ni msela wangu anaitwa Micha jamaa amekaa sana tz na ni mtu wa bling bling saana
he was one among two  who appear with white suit that night most of us we were in black  usiulize bei yake  unaweza nunua kiwanja bwashee
Basi bwana kama unavyoona vimwana ndo ka hivyo
Black Red Black the lady in middle was our host

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen