In pictures:Japan Tsunami(Tsunami na madhara yake Japan) the cosequences of the large Earthquake that struck North east Japan(Haya ndo madhara yaliyotokea Japan)baada ya Tsunami
8.9Magnitude Earth quake which triggerd Tsunami which has swept all accross the sea
(Tetemeko lenye ukubwa wa 8.9 Ritcher scale lilivyosababisha Tsunami kama inavyoonekana)
Maeneo yaliyoathirika vibaya ni kama Miyagi,Fukushima na Iwate
(The worst affected areas are thought to be Miyagi,Fukushima and Iwate)
Wimbi kubwa la maji linalokadiriwa kuwa na urefu wa meta 10 likikaribia makazi ya watu
(As the wave which is about 10metres high approaches residential area)
Damage on gas pipes result into fire outbreak at different places this was Natori City
(Uharibifu kwenye mabomba ya gesi ulipelekea kulipuka kwa moto katika maeneo mbalimbali ).
About 500,000 are homeless now they do live in safe public places
(Inakadiriwa kiasi cha watu 500,000 wameachwa bila makazi huko Japan kufuatia Tsunami)
Despite of these most of the people lost their relatives and friends
and threat of Neuclear emission
Japanese government estimate (180bn dollars )will be needed to return things in normal.
Everyone with good heart is supposed to think on how he or she should help all of the people who are in need there
Dah Mungu saidia viumbe vyako
AntwortenLöschen