BAA LA NJAA NCHINI NIGER
(MILLIONS FACE SEVERE FAMINE IN NIGER )
The hidden disaster: famine in Niger
Shirika la Save the Children katika taarifa yake limesema hali huko Niger inazidi kuwa mbaya zaidi.Shirika hilo linasema kuwa watu zaidi ya milioni sita wanakabiliwa na njaa. Na katika eneo zima la Sahel karibu watu milioni 18 wanakabiliwa na tishio la njaa.Taarifa hiyo inasema kuwa idadi ya watoto wanaohitaji matibabu kutoka na maradhi yanayotokana na ukosefu wa chakula imefikia kiwango cha kutisha.
Vyanzo:TZMPAKAAU,BBC na The Telegraph
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen