QADRI AHUKUMIWA KIFO

Mumtaz Hussain Qadri
A Pakistan court sentenced to death on Saturday the killer of the governor of pakistan's largest province after he called for reform of a law against blasphemy. Mumtaz Qadri was a bodyguard for Punjab province Gorvernor Salman Taseer and shot him dead in the capital,Islamabad,on January 4.

Protesters against Qadri arrest and obviously his sentence.
Mahakama nchini Pakistani imemhukumu muuaji wa aliyekuwa gavana wa jimbo kubwa zaidi nchini Pakistani kifungo cha maisha.Gavana huyo aliuwawa baada ya kupendekeza mabadiliko kinyume cha sheria iliyowatia hatiani walioenda kinyume na sharia.Gavana alikuwa akipinga hukumu kama vile kupigwa mawe hadharani na nyinginezo zenye kwenda kinyume na haki za binadamu.Gavana huyo aliuawa na aliyekuwa mlinzi wake Malik Mumtaz Hussain Qadri mjini Islamabad tar 4 january.
Sources:Yahoo News,Reuters and TZMPAKAAU
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen