Best Blogger TipsSoon

Samstag, 1. Oktober 2011

TZMPAKAAU

BOSTON:DOZENS ARRESTED  DURING PROTEST
BoA-Protests

Police have arrested two dozen protesters for tresspassing during a demonstration against Bank of America's foreclosure practices at the banking giant's offices in downtown Boston.
The Boston Herald reports that the event was an act of civil disobidience that the organizers intended to send the message that the lender's practices were unfair.
"They wanted to be arrested,and we obliged".Boston police commissioner Edward F.Davis told the newspaper.


Tawi moja wapo la benki ya marekani

Polisi mjini Boston nchini Marekani imewakamata waandamanaji zaidi ya 20 waliokuwa wakipinga vitendo vinavyofanywa na  Benki ya Marekani.Kama kunyang'anya mali ziliyonunuliwa kwa fedha za mkopo toka benki hiyo, kwa misingi ya kwamba fedha haikurudishwa ndani ya kipindi kilichotakiwa.

Boston inaashiria kuwa kitendo cha watu kukataa kufuata sheria kilikusudia kutoa ujumbe wa amani kinyume cha maonevu yanayofanywa na benki hiyo ya marekani..

Sources :Foxnews na TZMPAKAAU



Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen