Best Blogger TipsSoon

Freitag, 30. September 2011

TZMPAKAAU

      Al Qaeda yapata pigo lingine
    (Al Qaeda got another shock)



Mwanaharakati wa Kiislamu mwenye msimamo mkali, na mzaliwa wa Marekani  anayeshukiwa kuwa kiongozi wa al-Qaeda Anwar al-Awlaki ameuawa nchini Yemen, kulingana na ripoti iliyotolewa na wizara ya ulinzi.
(Anwar al-Awlaki the citizen of U.S.A,radical Muslim and suspected successor of Osama bin Laden got killed in Yemen, according to U.S.A  ministry of defence report)
Maafisa wa Marekani ambao majina yao hayakutajwa wamethibitisha taarifa hizo.
Awlaki, mwenye asili ya Yemen, amekuwa mafichoni huko Yemen tangu Desemba 2007.



Anwar al-Awlaki
Sources:BBC News,TZMPAKAAU

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen