Libyen Delegation zu besuchen President Kikwete
(Wa wakilishi wa serikali ya mpito ya Libya kumtembelea Kikwete)

NTC, which has attracted and obtained recognition at the United Nations after getting 114 votes against 17, has not fully been recognised by the Southern African Development Community (Sadc) to which Tanzania is a member.
![]() | ![]() |
Tanzania inatarajia kutembelewa na wawakilishi wa serikali ya mpito ya nchini Libya mwanzoni mwa mwezi wa kumi.Serikali ya mpito ya Libya imekwishapata utambulisho na baraka kutoka U.N, ambapo serikali hiyo ilipata kura 114 za ndiyo na 17 za hapana kutoka mataifa mbali mbali duniani.Umoja wa mataifa ya kusini mwa bara la Afrika,umoja ambao Tanzania ni mwanachama bado hawaitambui serikali hiyo ya mpito.
Vyanzo:Gurdian,Ippmedia na TZMPAKAAU,
Vyanzo:Gurdian,Ippmedia na TZMPAKAAU,
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen