Best Blogger TipsSoon

Samstag, 16. Juni 2012

TZMPAKAAU

PRINCE NAYEF BIN ABDULAH AZIZ WA SAUDI ARABIA AFARIKI DUNIA(PRINCE NAYEF BIN ABDULAH AZIZ OF SAUD ARABIA WHO WAS ANNOUNCED TO BE SUCESSOR OF THE CURRENT KING HAS DIED)
Mwezi wa May prince huyo alikwenda Uswiswi kwa matibabu.Qasri ya Saudi Arabia ilisema alifariki hospitali katika nchi za nje.
Prince Nayef aikuwa waziri wa mambo ya ndani wa Saudia Arabia tangu mwaka wa 1975, na mwezi Oktoba mwaka jana, akiwa na umri wa miaka 78, aliteuliwa kuwa ndie atayemrithi mfalme wa sasa, Mfalme Abdullah.
Taarifa ilieleza kuwa atazikwa Jumapili mjini Makka
Vyanzo:TZMPAKAAU,BBC na CNN

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen