Best Blogger TipsSoon

Donnerstag, 12. April 2012

TZMPAKAAU

 EDWARD MORINGE SOKOINE
(1 AUGUST 1938- 12 APRIL 1984)
Kulia ni Edward Moringe Sokoine na kushoto ni Mwl.Nyerere.
"Naikumbuka kama vile ilikuwa jana ile Alhamisi ya Aprili 12, 1984 ambapo Taifa lilimpoteza Edward Moringe Sokoine - Waziri Mkuu. Alikuwa ni mtu wa kwanza ambaye alitambua kwa kina vita ambayo imekuja kujithibitisha miaka karibu thelathini baadaye - kwamba wapo watu ambao wanaweza kutumia umaskini wa wananchi wetu kama mtaji wao! Sisi tuliwaita "wahujumu uchumi" leo wanaitwa "mafisadi" kiukweli ni watu walewale!!! Alikuwa ni shujaa wa kwanza katika mioyo ya Watanzania aliyewapigania wananchi wanyonge hasa na hadi sasa ndani ya CCM bado hajatokea mtu wa namna hiyo!!! RIP Sokoine!!!!"
Vyanzo:TZMPAKAAU na Mjengwa blog.

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen