The rocket - seen by many as a banned test of long-range missile technology - was launched from north-west North Korea early on Friday.
The US, Japan and South Korea say it flew only for a short time before breaking up and crashing into waters off the Korean peninsula.
North Korea said its scientists were assessing what had caused the failure.
Roketi ya watu wa korea kaskazini ambayo mataifa mengi yamekuwa yakihisi ni silaha ya maangamizi ilirushwa leo kutokea kaskazini magharibi mwa nchi hiyo na U.S.A,Japani na Korea Kusini wamesema roketi hiyo iliruka muda mfupi kabla ya kuanguka katika maji ya Peninsula ya Korea.
Nayo Korea Kaskazini imesema wanasayansi wake wanajaribu kuangalia sababu za kushindwa kwa roketi yao.
Nayo Korea Kaskazini imesema wanasayansi wake wanajaribu kuangalia sababu za kushindwa kwa roketi yao.
Vyanzo:TZMPAKAAU,Yahoo News and BBC
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen