Best Blogger TipsSoon

Donnerstag, 19. April 2012

TZMPAKAAU

INDIA LAUNCHES LONG RANGE MISSILE
(INDIA IMEFANYA JARIBIO LA KOMBORA LA MASAFA MAREFU)

India successfully launches a long-range intercontinental ballistic missile able to carry a nuclear warhead as far as China, officials say.
India imefanikiwa katika jaribio lake la kombora lake la masafa marefu ambalo linauwezo wa kubeba nyuklia na linakwenda umbali wa zaidi ya kilometer 5000 inayomaanisha kombora hilo linaweza kufika sehemu nyingi za nchi ya china.
Vyanzo:TZMPAKAAU,BBC,Globalspin and Vusolutions

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen