Best Blogger TipsSoon

Sonntag, 1. April 2012

TZMPAKAAU

CHANGIENI  ELIMU KULIKO HARUSI:SYLIVESTER GAMANYWA

Mchungaji Sylivester Gamanywa.
WATANZANIA wametakiwa kuacha tabia ya kupenda kuchangia harusi baadala yake wajitokeze kwa wingi kwenye harambee zinazohusu kuchangia elimu kwajili ya kupunguza changamoto mbalimbali zinazoikali sekta hiyo.

Kauli hiyo ilitolewa na kiongozi  wa huduma ya Wapo Mission, Selevester Gamanywa wakati wa uzinduzi wa ‘Siku ya Taaluma’ ambayo itafanyika kila mwaka  katika shule ya sekondari ya Kisukuru Regent, iliyoko Tabata wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam jana.
Vyanzo:TZMPAKAAU na FullShangwe

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen