TANZANIA:MADAKTARI WATANGAZA MGOMO NCHI NZIMA
Madaktari nchini wametangaza mgomo mpya usio na kikomo hadi Rais Jakaya Kikwete atakapowafukuza kazi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda na Naibu wake, Dk. Lucy Nkya.Mgomo huo wa madaktari wa kada zote ulianza rasmi jana huku wagonjwa waliofika katika hospitali mbalimbali za serikali wakirudishwa walikotoka kutokana na kutokuwepo mtu wa kuwapokea wala kusikiliza matatizo yao.
Vyanzo:TZMPAKAAU Ippmedia na thehabari
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen