KOFI ANNAN MEETS WITH SYRIAN PRESIDENT(KOFI ANNAN ANAKUTANA NA RAIS WA SYRIA)
A former United Nations secretary-general met with Syria's president Saturday in the latest diplomatic attempt to halt the bloodshed in the country.Annan will meet with other groups later in the day, said Ahmad Fawzi, his spokesman. Those others may include opposition, civil society and women's groups, he said.
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa aliyestaafu Koffi Annan ,amekutana na rais wa Syria katika hatua ya kuzuia umwagikaji damu zaidi kwa juhudi za kidiplomasia.Koffi annan atakutana na makundi mengine baadaye leo kama alivyosema msemaji wake Ahmad Fawzi.Makundi hayo ni wapinzani wa rais Assad,makundi mengine ya kijamii na makundi ya wanawake alisema.
Vyanzo:TZMPAKAAU,CNN na ZEIT ONLINE.
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen