Best Blogger TipsSoon

Donnerstag, 8. März 2012

TZMPAKAAU

WANAWAKE MBEYA WAADHIMISHA SIKU YAO KWA KUPANDA MITI
(MBEYA:ON WOMEN'S DAY WE DO PLANT TREES)
Baadhi ya wanawake wakichukua miti tayari kwenda kuipanda katika milima ya Isyesye.
Wa kwanza kushoto ni mwana sheria wa mkoa wa Mbeya,Afisa habari wa mkoa na afisa biashara wa mkoa wakielekea kupanda miti katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani.
Wanawake mbeya ,kupanda miti ni jambo lenye kufurahisha.
Nani alisema jukumu la kutunza  mazingira ni  la mwanamke peke yake?
Panda miti na jitahidi usikate mti.
Watoto ni taifa la kesho.....hivyo ni muhimu wakijifunza kutunza mazingira ya taifa lao.
Vyanzo:TZMPAKAAU na Mbeya Yetu.




Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen