CONGO:More than 200 die in Arms depot fire
CONGO:Mlipuko wa ghala la silaha ,umewaua watu zaidi ya 200
Blasts at an arms depot that killed at least 200 people in Congo's capital Brazzaville.Blasts were caused by a short-circuit that led to a fire, officials suspect.
Milipuko kutoka kwenye ghala ya kuhifadhi silaha imewauwa watu wasiopungua 200 Congo Brazzaville.Maafisa wanasema moto ulisababishwa na hitilafu ya umeme.
Vyanzo:TZMPAKAAU, ORF news,BBC na euronews.
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen