Best Blogger TipsSoon

Sonntag, 19. Februar 2012

TZMPAKAAU

RAIS WA UJERUMANI AJIUZULU
(GERMANY PRESIDENT CHRISTIAN WULFF HAS RESIGNED)
Rais wa Ujerumani Christian Wulff amejiuzulu. Kiongozi huyo amekuwa akikabiliwa na kashfa ya kupokea mkopo wa fedha katika njia ambazo si halali, na uungwaji mkono kwake umeshuka sana.
Katika hotuba yake muda mfupi uliopita, Christian Wulff ameshukuru kwa muda aliokaa madarakani kama Rais wa Ujerumani, akaongeza lakini kwamba ofisi hiyo kwa sasa inahitaji mtu mwenye hadhi bora na anayeaminiwa na wananchi
Vyanzo:TZMPAKAAU na Deutschwelle

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen