MREMA, KUGA NA MZIRAY WAITAKA SERIKALI KULIKEMEA JESHI LA POLISI
Vyama vya APPT Maendeleo na Tanzania Labour Party (TLP),vimeitahadharisha Serikali ya kama haitalikemea Jeshi la Polisi nchini kutokana na mfululizo wa askari wake kuwaua raia kwa risasi za moto, kuna hatari nchi ikatumbukia katika machafuko makubwa kama ilivyo katika nchi nyingine barani Afrika.Alisema ni jambo la kusikitisha kwa mfano, Songea wananchi waliokuwa wakiandamana hawakuwa na silaha, lakini polisi wakaamua kuwapiga risasi na kuwaua baadhi yao.
Vyanzo:Ippmedia na TZMPAKAAU
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen