TZMPAKAAU is celebrating its 1 year of operating
(TZMPAKAAU inasherehekea kutimiza mwaka 1 tangu kuanzishwa kwake)
at the same time we are celebrating our achievements
(Wakati huo huo tunasherehekea mafanikio tuliyoyapata)
- We started with just 1 visit and now we have more than 5000 visits.(Toka mtembeleaji mmoja mpaka watembeleaji 5000)
- We started with stories and articles most from other sources and now we have our stories as the result of best authors(editors) of ours.(Tulikuwa hatuandiki wenyewe habari lakini sasa tumeanza kuandika baadhi ya habari zetu sisi wenyewe)
- The quality of our articles,photos and stories has increased enormously.(Ubora wa blogu (makala,picha na ufanisi katika uandishi wetu) umeongezeka saana katika kipindi hiki cha mwaka mmoja)
Last but not least we would like to thank all of those who visits our blog from various countries in the world, nevetheless we would like to mention our sincere appreciation first to the blogger KULIKONI UGHAIBUNI for his full support on making TZMPAKAAU known, secondly to the medias such as Ippmedia,YahooNews,BBC,Foxnews,Deutschwelle,Telegram,SkyNews for their contribution on informing us first and our visitors directly or indirectly.
(Mwisho tunapenda kuwashukuru saana wale wote wanaotutembelea kutoka nchi mbalimbali lakini hasa Tanzania,U.S.A,Ujerumani,Urusi,Uingereza,Norway,Uswisi,Singapore na Kanada tunasema ahsante sana, lakini TZMPAKAAU inapenda pia kuwashukuru saana wafuatao blogger KULIKONI UGHAIBUNI kwa kututambulisha, na Ippmedia,BBC,Yahoo,FoxNews na mashirika mengine ya habari kwa kutuhabarisha tunasema ahsante. Mwisho kabisa tunapenda kuwapongeza waandishi wote wa TZMPAKAAU kwa bidii yao isiyokuwa na mwisho katika kuiboresha TZMPAKAAAU siku hadi siku )
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen