(CHINA LAZIMA ITIMIZE MAJUKUMU YAKE YA KIMATAIFA:BARACK OBAMA)
Barack Obama warned China it had live up to its international responsibilities yesterday as the country's next president made a crucial visit to Washington ahead of his expected rise to power
Bw.Xi Jinping
In return Mr Xi called for "greater balance" in trade betweenU.S.A and China.
Barack Obama amemwambia kiongozi mtarajiwa wa nchi ya China Bw Xi Jinping kuwa China lazima iishi ikitekeleza majukumu yake ya kimataifa pale Bw.Xi Jinping alipoitembelea washington .Bw Xi anatarajiwa kuwa kiongozi mpya wa dola la watu wa China.
Naye Mr Xi Jinping ametaka kuwe na usawa mkubwa katika biashara na uwekezaji kati ya nchi ya China na Marekani.
Vyanzo:TZMPAKAAU,Telegraph na Spiegel Online
Vyanzo:TZMPAKAAU,Telegraph na Spiegel Online
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen