Best Blogger TipsSoon

Freitag, 10. Februar 2012

TZMPAKAAU

78 Years together
78 Years of marriage: THE LONGEST MARRIED COUPLE
(Miaka 78 ya maisha ya Ndoa)
"Las Vegas" and "long-lasting marriage" don't seem to belong in the same sentence, but one couple is defying the city's repuation for shotgun weddings and quickie marriages. Wilbur and Theresa Faiss have been married for 78 years and have just been certified by Worldwide Marriage Encounter as the longest-married couple in the U.S.
What is the secret?
"It's very simple. It's give and take and compromise," Wilbur
 Faiss, 100, toldCNN. 
Ni ndoa ya watu wa Las Vegas na ni ndoa ambayo imedumu kwa muda mrefu. Tofauti na ndoa nyingi kama sio zote za Las Vegas ambazo hufungwa haraka haraka na kuvunjika haraka haraka(hii inamaanisha hata ndani ya masaa), Ndoa ya Wilbur na Theressa Faiss imedumu kwa takribani miaka 78 .Na kwa msingi huo kurudisha tena heshima ya jiji la kamari la Las Vegas.Wilbur na Theresa ndoa yao imeingizwa kwenye  kitabu cha  rekodi  cha ndoa cha dunia, kama ndoa iliyodumu   kwa muda mrefu.


Siri  ni nini?
Willbur Fassie anasema siri  ni nyepesi ni kukubali kulegeza masharti(m(i)simamo) yako na kuomwomba mwenzi kulegeza masharti yake.




Vyanzo:TZMPAKAAU,Foxnews,Yahoo na CNN.

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen