BOKO HARAM HAS ITS ROOTS IN THE GOVERNMENT: PRESIDENT JONATHAN
Rais Goodluck Jonathan
Kiongozi huyo amesema hali ya usalama nchini humo sasa ni mbaya na ya kutatiza kuliko wakati wa vita vya wenyewe kwa wenye vilivyoshuhudiwa nchini humo kati ya mwaka wa 67 na 70.Rais Jonathan amesema hayo kufuatia mashambuizi ya hivi karibuni nchini humo ambapo watu 80 wameuawa na mali ya mamilioni ya dola kuharibiwa.
Boko Haram na kauli mbiu yao(Boko haram meaning and their motto)
Mamia ya watu hasaa wakristo wamelazimika kuhama mkaazi yao kufuatia mashambulio yaliodumu saa 24 wiki iliopita yaliotekelezwa na makundi ya watu wanaoaminika kuwa ni wafuasi wa Boko Haram.Kundi hilo la Boko Haram lina lengo la kuipindua serikali na kuteua utawala wa kiislamu nchini Nigeria.
Vyanzo:TZMPAKAAU, BBC na Safer Africa
Vyanzo:TZMPAKAAU, BBC na Safer Africa
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen