(PRICES ON FOOD STUFFS SHOOTS HIGH TANZANIA)
Hali ya maisha inazidi kuwa mbaya nchini, kutokana na bei za bidhaa, hususan vyakula, kupanda kwa kasi na hivyo kuwafanya wananchi waishi maisha magumu.
Uchunguzi uliofanywa na NIPASHE umebaini kuwa, bei za vyakula zilianza kupanda nchini mwishoni mwa mwaka jana, huku kukiwa hakuna dalili yoyote ya kupatikana nafuu kutokana na hali hiyo kuendelea hadi sasa.
Vyakula ambavyo bei yake imepanda kwa kasi, ni vile ambavyo hutumiwa na watu wengi; kama vile mchele, maharage, sukari, unga, nyanya, vitunguu na viazi mbatata.
Waandishi wa NIPASHE walitembelea masoko mbalimbali ya jijini Dar es Salaam na mikoani na kushuhudia hali hiyo.
SOKO LA KARIAKOO
BEI MPYA BEI ZA ZAMANI
Mchele sh 2500 Mwishoni mwa mwaka sh 2000
kilo moja
Maharage sh 2400 Mwishoni mwa mwaka sh 2000
kwa kilo
Unga sh 1200 Mwishoni mwa mwaka sh 900
kwa kilo
Sukari sh 2600 Ilikuwa sh 2000
kwa kilo moja
Vitunguu sh 5500 Ilikuwa sh 3500 kwa
sadolin moja
SOKO LA KISUTU
BEI MPYA BEI ZA ZAMANI
Mchele sh 2600 Ilikuwa sh 2100
kwa kilo moja
Maharage sh 2600 Bei ya zamani sh 1900
kwa kilo moja
Unga sh 1200 Zamani(Mwishoni mwa mwaka)
sh 800 kwa kilo
Sukari sh 2500 Ilikuwa sh 2000
kwa kilo
Vitunguu sh 7000 Ilikuwa 3500 kwa kilo
SOKO LA MWENGE

BEI MPYA BEI ZA ZAMANI
Mchele sh 2400 Ilikuwa sh 1800
kwa kilo
Maharage sh 2000 Ilikuwa sh 1400
kwa kilo
Unga sh 900 Bei ya mwezi ulopita
sh 600 kwa kilo
Nyanya moja sh 200 Bei ya fungu
moja la nyanya mwezi jana
Vyanzo:NIPASHE na TZMPAKAAU
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen