Britte nach schalaganfall schwull (Mwingereza ageuka kuwa shoga baada ya kupata kiharusi)
Jamaa mmoja wa uingereza ageuka kuwa shoga maara baada ya kupatwa na ugonjwa wa kiharusi.Chris Brich mwenye miaka 26 alikuwa mchezaji wa Rugby kabla ya kupatwa na ugonjwa huo na alikuwa na mchumba wake mwenye jinsia ya kike, lakini mara baada ya kuzinduka kutoka kwenye kitanda chake cha ugonjwa amekiri kuvutiwa na watu wenye jinsia kama yake .Chris Brich sasa anataka kuanzisha saloon ya kike. Madaktari wanadai sababu za mabadiliko hayo hayatokani na ugonjwa wake lakini wanaamini Chris Brich alikuwa shoga hata kabla ya ugonjwa huo ila wanasema labda ugonjwa umemfanya atambue hali yake alisema daktari mmoja wa Austria bw .Wolfgan Auer.
Vom Rugby-Spieler zum Frisör! Der 26-jährige Chris Birch ist nach
einem Schlaganfall plötzlich schwul geworden! Das sagt er
zumindest selbst. Der 26-Jährige ist zuvor Rugby-Spieler und mit
einer Frau verlobt gewesen. Als er nach dem Schlaganfall im
Krankenhaus aufwacht, fühlt sich Chris aber plötzlich zu Männern
hingezogen und möchte Frisör werden. Jetzt lebt er mit einem Mann
zusammen und betreibt seinen eigenen Haar-Salon. Ärzte glauben
allerdings nicht, dass sich nur durch den Schlaganfall die Sexualität
geändert hat. Chris dürfte wohl schon zuvor homosexuell gewesen
sein, so Allgemeinmediziner Wolfgang Auer:
„Es gibt viele Menschen, die sich erst durch einen Schicksalsschlag
oder ein einschneidendes Erlebnis outen! Ich denke, dass er sich
seiner Homosexualität zuvor nicht wirklich bewusst war!“
Sources:TZMPAKAAU na KRONEHIT
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen