Dar es Salaam and Zanzibar faces power cut off
Moto mkubwa umelipuka katika kituo kikuu cha kupokelea umeme kilichopo Ubungo, jijini Dar es Salaam na kusababisha kuungua kwa kifaa cha kurekebisha mwenendo wa umeme hali ambayo imeacha Jiji la Dar es Salaam na Visiwa vya Zanzibar bila umeme.
Kifaa hicho chenye thamani ya zaidi ya Dola za Marekani 500,000 (zaidi ya Sh. milioni 800) kilikumbwa na hitilafu hiyo, jana saa 11 jioni, ambapo baada ya kuanza kuungua umeme ulizima na hivyo maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam na Zanzibar kuingia gizani.
Vyanzo:TZMPAKAU na Ippmedia
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen