MBEYA WAMACHINGA WAFUNGA MITAA
- Kisa ni kupinga unyanyasaji wanaofanyiwa na Sirikali dhalimu
Hapa wamachinga wakiwa juu ya Gari aina ya Toyota Landcruiser pickup waliyoipindua na kisha kusimama juu yake.Watoto nao hawakua nyuma kuwaunga mkono kaka zao.
Haya si maneno yaTZMPAKAAU lakini ni maneno yao wamachinga wa mkoani Mbeya.
Wamachinga hao upande mmoja na upande mwengine ni Sirikali ya TZ ikiwakilishwa na askari wa kutuliza ghasia FFU.
Wamachinga hao wakijibu mabomu ya machozi kwa kutumia maji.
Kama huamini nguvu ya Uma basi hapa ndo utaijua huu ni mtaa bize sana mkoani mbeya lakini wamachinga waliufunga kabisa na kwa taarifa iliyoifikia TZMPAKAAU sio eneo hili tu lakini maeneo mengi ya kibiashara ya mkoa huu wamachinga hawa waliyafunga.
Wamachinga wakiwa wameifunga barabara ya Mbeya-Dar,Mbeya-Tunduma kwa kutumia gari.
Huu pia ni mtaa wenye maduka mengi sana mkoani mbeya na kama inavyoonekana hakuna kinachoendelea wamachinga wameufunga pia.
Hii ni sirikali inayojitahidi kurudisha hali ya amani eneo la tukio kupitia polisi wake wa kutuliza ghasia.
Risasi ya moto ambayo imeshuhudiwa na mpiga picha eneo la tukio.
Picha za Kusikikitisha za madhara ya vurugu hizo...huyu ni mmoja wa majeruhi wa vurugu za wamachinga na polisi mkoani mbeya.Wananchi wanne wapigwa risasi wawili kichwani....na mmoja ya mguu na mwingine kwenye
Vyanzo:TZMPAKAU na GLOBAL PUBLISHERS
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen