Best Blogger TipsSoon

Donnerstag, 10. November 2011

TZMPAKAAU


KAYA JEREMIAH
Kipaji kilichoibuliwa na Bongo Star Search .
 Kala na wimbo wake wa Wizi mtupu ,ni wimbo unaokemea maovu mbalimbali yaliyojificha ndani ya jamii yetu.

Hapa ni Kala na mwimbo wake unaokwenda kwa jina la wimbo wa Taifa, ukweli kama sio mwanaharakati wa kweli huwezi kuupenda mwimbo huu, lakini kama ni mwanaharakati unayetaka kuona Tanzania inabadilika basi huu mwimbo wa Kala ndo wenyewe.

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen