Rais Alhaji Ali Hassani Mwinyi akitunukiwa shahada ya Udaktari na bw.John Malecela mkuu wa chuo kikuu huria (OUT).Kwenye mahafali ya 23 ya chuo hicho yaliyofanyika bungo Kibaha.Kulia ni Dk.Mohamed Gharib Bilal makamu wa rais wa serikali ya jamhuri ya muungano Tanzania.
Shahada ya Udaktari wa falsafa (PhD) kwa Mohammed Seif Khatib (waziri katika ofisi ya makamu wa rais katika maswala ya muungano) kutoka kwa mkuu wa chuo cha Dodoma na rais mstaafu Benjamin Mkapa.
Shahada ya udaktari wa falsafa(PhD), kwa rais Jakaya Mrisho Kikwete toka wa rais mstaafu wa Tanzania bw Benjamin Mkapa kupitia chuo anachokiongoza (UDOM) hii ilikuwa mwaka Jana.
Keine Kommentare:
Kommentar veröffentlichen