Best Blogger TipsSoon

Samstag, 26. November 2011

TZMPAKAAU

Mandhari za jiji la Tanga
(Tanga town Tanzania)
Hapa si kwengine ni Tanga.
Basi hii ni Tanga mji mpya watu wanaotesha vijengo vizuri kama uyoga.
Basi ukiwasikia watanga wanajisifia kwao sio bure....hapa ni maeneo ya karibu na mombo.
Hapa ni  maeneo ya Handeni Tanga.
Haya ni mabango ya asili, kodi unamlipa mwenyezi Mungu kwa shukrani.
Hii ni mandhari ya milima ya Usambara(Tanga).
Kauli ya wanasegerea "Tanzania yenye upendo  inawezekana".
Vyanzo:MICHUZI na TZMPAKAAU








1 Kommentar: