Best Blogger TipsSoon

Dienstag, 6. September 2011

TZMPAKAAU

 Ace of Base : Vicheche wapo na lazima uwe makini ka kawa

  • Ace of base ni bendi ya iliyoundwa na ndugu wanne Ulf Ekberg,  Jonas Berggren, Malin Berggren na Jenny Berggren wanatoka nchini sweeden. 

  •  Album yao ya The sign ,ni album ya kwanza kufanikiwa kuwa na nyimbo Tatu zilizoshika nafasi ya kwanza kwenye billboard chart ya U.S.

  • Kwa sasa waanzilishi waliobaki ni Ulf Ekberg na Jonas  Berggren huku dada zao  Jenny na Malin wakiendelea na mambo mengine,  kaka hao wametrain vocalist wengine wawili badala ya dada zao na hivyo kuifanya bendi kuwa na members wanne kama awali vocalist hao wapya ni Clara Hagman na Julia Wiliamson.
Check this out: all that she wants!!


Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen