Best Blogger TipsSoon

Freitag, 12. August 2011

TZMPAKAAU

Ilikuwa umeme sasa ni  umeme na mafuta
Baada ya sakata la mgao mkali wa umeme kuwa kitu cha kawaida hapa nyumbani Tanzania sasa uhaba mkali  wa nishati ya mafuta sasa nao umekuja
  •     mabasi ya mikoani yaahirisha safari zake,abiria wengine wakwama njiani
  •       nauli za daladala,mabasi na hata ndege sasa ni  juu
  •    Serikali yadai italipatia ufumbuzi
  • Foleni za kutisha katika vituo vya mafuta nchi nzima
  • Bei ya lita moja ya mafuta ya petroli ni Tsh 3500
    Mkoani mbeya nauli  kutoka kituo hadi kituo sasa yafikia kiasi cha Tsh 1000

              Foleni katika kituo kimoja cha mafuta mkoani Iringa
Kituo kimoja cha mafuta jijini mbeya kama kinavyoonekana hamna huduma

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen