Best Blogger TipsSoon

Freitag, 22. Juli 2011

TZMPAKAAU

 Maafa mengine Mikumi

Janga lingine la ajali limetokea mkoani Morogoro siku ya J5 na kuangamiza maisha ya watu na kujeruhi wengine baada ya Basi la Kampuni ya Hood  kugongana uso kwa uso na lori la Kampuni ya Mohamed Enterprises kisha kulipuka moto katikati ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Mikumi.




Ajali hiyo iliyotokea majira ya saa 8:30 mchana wakati basi hilo lilikitokea mkoani Mbeya kwenda Arusha na lori likitoka Morogoro kwenda Songea, Ruvuma likiwa limebeba tani 28 za mafuta ya kula, inakisiwa kuwa watu 14 wamefariki dunia kwa kuungua moto ingawa hadi jioni ni maiti tano tu zilikuwa zimepatikana huku kukiwa na dalili na mifupa inayodhaniwa ni ya binadamu ndani ya magari hayo

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen