Best Blogger TipsSoon

Samstag, 28. Mai 2011

TZMPAKAU

Ni Mimi na paka wangu tu tuliobaki :Sally Adams
Sally Adams puts her cat Callie into a box after she was found in her devastated Joplin, Mo. home Thursday, May 26, 2011. An EF-5 tornado tore through much of the city Sunday, damaging a hospital and


Juzi tornado yenye ukubwa wa EF(Enhanced Fujita Scale) 5 iliupiga mji wa   Joplin ulio katika jimbo la Missouri U.S.A na kuharibu hospitali,mamia ya nyumba,na kuua angalau watu 125 .

Tornado yenye ukubwa wa EF5 inaweza kuing'oa nyumba na msingi wake na inaweza hata kuangusha majengo marefu , hapa Sally alikutwa na kamera akiwa anamuweka paka wake sehemu salama zaidi baada ya Joplin Tornado kupita nyumbani kwake.

Inakadiriwa kuwa katika mwaka huu tu  tornado zaidi ya 940 zimepita maeneo mbali  nchini marekani na  kusababisha uharibifu wa mali zenye thamani ya zaidi ya dola bilioni 9

Vyanzo:Yahoo,Wikipedia,TZMPAKAAU

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen