Best Blogger TipsSoon

Montag, 25. April 2011

TZMPAKAAU



Masanja mkandamizaji ajimuvuzisha kwa Yesu
Masanja alikiri  kujimuvuzisha kwa Yesu katika mahubiri yake na kila mara alikuwa akisisitiza neno hilo na kuwaomba watu wote walikuwa hapo nao waokoke na kuwa kama yeye.
Masanja ni muumini wa Kanisa la EAGT, Mito ya Baraka lililopo Kariakoo, Mtaa wa Jangwani karibu na jengo la Klabu ya Yanga ya jijini Dar, ambalo liko chini ya Askofu Bruno Mwakibolwa.

Awali Masanja alianza kuamini katika kanisa hilo kama mwanakwaya na baadaye alivutiwa na mahubiri na kuanza kuhubiri kwa njia ya nyimbo ambapo alitunga nyimbo kadhaa na kuziimba kanisani hapo.
                              

Keine Kommentare:

Kommentar veröffentlichen